Portfolio 15 za Wasanidi Programu za kukuhamasisha
Makala asilia katika lugha ya kiingereza: 15 Web Developer Portfolios to Inspire You na Laurence Bradford
Imetafsiriwa na: Davis David
Mojawapo ya mambo magumu zaidi kufanya kama msanidi mpya ni kukusanya jalada la mtandaoni.
- Niseme nini?
- Je, nijumuishe nini?
- Niache nini?
Lakini si lazima iwe hivyo.
Ikiwa umekwama, angalia sampuli hizi 15 jalada la wasanidi wa wavuti kwa kukuhamasisha. (Na ikiwa unataka mwongozo zaidi juu ya kutengeneza portfolio yako, angalia hapa.)
1. Matt Farley
mattfarley.ca
Anachofanya: UX/UI na front-end development
2. Dejan Markovic
dejan.works
Anachofanya: UX na UI Design
3. Rafael Caferati
caferati.me
Anachofanya: front-end, back-end na UX
4. Emily Ridge
www.emilyridge.ie
Anachofanya: WordPress developer na designer
5. Ian Lunn
ianlunn.co.uk
Anachofanya: web-design na front-end development.
6. Pierre Nel
pierre.io
Anachofanya: design, front-end, back-end, na zaidi.
7. Timmy O’Mahony
timmyomahony.com
Anachofanya: Django developer
8. Denise Chandler
www.denisechandler.com
Anachofanya: web design, development, na zaidi.
9. Ben Adam
benadam.me
Anachofanya: UX/UI design na front-end development
10. Daniel Fischer
www.danielfischer.com
Anachofanya: front-end, back-end (Ruby on Rails), na zaidi.
11. Seb Kay
sebkay.com
Anachofanya: web design na WordPress development.
12. Jonny MacEachern
www.jonny.me
Anachofanya: front-end development.
13. Kathryn McClintock
www.kathrynmcclintock.com
Anachofanya: Drupal developer.
14. Jack Jeznach
jacekjeznach.com
Anachofanya: front-end na WordPress development.
15. Je, ni wasanidi programu gani wameunda jalada unalopenda?
Kuna msukumo kila mahali — ninatumahi kuwa nakala hii imekusaidia kupata yako!
Je, ungependa hata zaidi kuhusu jinsi ya kuunda portfolio ya hali ya juu? Bofya hapa ili kupata cheat sheet yangu ya bure ya hatua 7 za kutengeneza portfolio.
Makala hii imechapishwa kwa mara ya kwanza hapa.